Pale Machakos Level 5 kuna mambo tena. Nicholas Kitonyi ilipeleka kijana wake wa 6 years ili aondolewe jipu (cyst) mkononi lakini kidogo kidogo mambo iliharibika hadi mtoto sasa ako Intensive Care Unit (ICU). Haieleweki madaktari walimfanyia nini mtoto yule lakini ni kama kuna makosa ilifanyika pale.
Babake mtoto anadaisha hata ajakubaliwa kuona mwanawe tangu apelekwe ICU.
“I want to know what happened to my child. I brought him for a very minor treatment and now he is in ICU. The info we are being given is pretty skimpy,” said the kid’s father
Kukingana na maneno ya CEC wa Machakos Level 5, Daniel Kyumbai, yule mtoto aliingia kwa Coma akiwa anatibiwa hivo ikalazimu apelekwe kwa ICU.