Mwanamuziki aliyetamba sana kwa muziki wa “Maria” ameaga dunia. Msanii huyu anasemekana kupata shida za pneumonia. Habari za kifo chake zilipeperushwa mtandaoni na mojawapo ya bloggers wa pwani aitwae Mykol Machampali. Mwanablog huyo asema kwambaAlly B alikumbana na mauti yake akiwa anasafirishwa kuelekea Coast General Teaching and Referral Hospital pale Mombasa.
Kukingana na Blogger Mykol, “Ally B ameaga kutokana na ungonjwa wa Pneumonia. Akiwa anapelekwa hospitalini ugonjwa ulimzidi na akaaga kabla tufike.”
Baadhi ya muziki za Ally B zilizotamba ni pamoja na:
- Maria
- Kadzo
- Bembea
Moja wapo ya ngoma zake zilizotamba ni Maria. Hii hapa muziki hiyo: